Msaada wa Hari nakujitoa haswaa wa msanii Dr.Cheni pia si wakusahaulika.Ilikua ni kama muendelezo wa alichokifanya kwa Lulu pamoja na Msanii Cloud112 katika mashtaka yao tofauti.Team GaraB inamtakia kila lakheri kwa moyo wake Dr Cheni alkadhalika Wema Sepetu Mungu ndie mpaji sikuzote.
Hongera Kajala.Karibu tena Uraiani.
Picha na GPL.

























